Kila nchi inasheria zinazoongoza mienendo ya watu katika nchi hiyo, zipo sheria ngumu na rahisi ambazo zinaweza kufuatwa na watu wote nchini.

Lakini pia zipo nchi ambazo sheria zake ni vigumu kutumika katika nchi nyingine kutokana na nama ambavyo jamii ile inaishi.

Je wewe unaifahamu nchi gani na sheria ipi unadhani ingekuwa vigumu kufuatwa hapa nchini, leo kwenye kipindi cha zaidi Dar24 imekuandalia sheria tano ambazo ni za kushangaza zaidi duniani, bonyeza hapa chini kufahamu nchi hizo na sheria hizo ambazo kwa asilimia 100 watanzania wasingeweza kufuata sheria hizo.

Video: Muswada huu wa sheria ni haramu kama nyama ya Nguruwe- Polepole
Video: Mapya ya ugaidi Kenya, Kuna giza nene uchaguzi ujao

Comments

comments