Fuatilia hapa kutazama ndege zenye starehe zaidi hapa duniani, kupanda ndege hizi ni lazima uwe unajiweza kifedha kwani ni ndege za gharama na zenye starehe zaidi, ndani ya ndege hizo ni kama upo kwenye jumba la kifahari au hoteli ya kifahari inayopaa angani.

Gharama za kusafiri kwa ndege hiyo hutofautiana zipo ambazo kwa kichwa kimoja hugharimu pesa taslimu ya kitanzania Milioni 120, gharama ambayo mtu anaweza kununua kiwanja, kujenga nyumba yake ya kifahari, na kununua ndinga kali la kupigia misele mjini.

Tazama hapa ndege hizo.

Israel ‘yamteka’ Gavana wa Palestina
Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 21, 2018

Comments

comments