Kauli ya UVCCM: Ndoto za Lowassa, Sumaye hazitatimia, Shaka adai baadhi ya viongozi upinzani ni waumini wa ufisadi, Janga jipya la elimu, maelfu wafeli kidato cha pili, darasa la nne ‘vibomu’ vyatawala… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 16, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

UVCCM yawataka wananchi kuwapuuza Lowassa na Sumaye
Janjaro bado ajutia kuacha shule