Baraza la taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetangaza kuwatoza faini wananchi walioweka makazi yao karibu na mifereji.

NEMC imasema hayo katika oparesheni  ya ukaguzi wa mazingira na viwanda jijini Dar Es Salaam inayofanywa na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina.

Bofya hapa kutazama video yenye taarifa kamili. #USIPITWE

Roberto Martinez Aula, Akabidhiwa Jahazi La Ubelgiji
Msigwa ayageuka masharti ya Polisi, ‘hakuna wa kunipangia cha kusema’