Ni ruksa kuikosoa Serikali – Nape, mhariri aeleza hofu iliyotanda kiasi cha watu kukimbia mijadala ya Televisheni, Wateule wa Rais, Wabunge wanavyotunishiana misuli, Ukata watikisa Bunge la Bajeti.., hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 8, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

TLS wamjibu Dkt. Mwakyembe kuhusu uchaguzi
Zlatan Ibrahimovic Afungiwa Michezo Mitatu