Ni ulinzi wa ‘kufa mtu’ mahojiano ya Lowassa, Umeme wa uhakika wanukia, JPM akutana na wataalamu kwa maandalizi, avunja rasmi BRN, awaaga wafanyakazi, Watanzania 500 wafukuzwa Kenya, Mwalimu ajimaliza nyumba ya wageni, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Juni 28, 2017.

Marekani yaapa kula sahani moja na wahalifu wa mitandaoni
Magazeti ya Tanzania leo Juni 28, 2017