Aliyekuwa Rais wa Marekani, Barrack Obama amesema kwaheri Ikulu na kumpisha Rais mpya wa 45, Donald j Trump. Obama ameagana na Trump rasmi jana Januari 20, 2017 nje ya jengo la Capitol Hill wakati alipoingia katika ndege na kuondoka, huku Donald Trump na mkewe wakirudi katika jengo hilo. Tukio hilo ni muda mfupi baada ya Trump kuapishwa kuwa Rais wa Marekani.

Maelfu ya raia walidhuria kuonyesha umoja wao, huku wengine wakipinga kuapishwa kwa  Donald Trump kuwa rais wa Marekani.

Kinara wa madawa ya kulevya 'EL Chapo' apandishwa kizimbani
Sallam wa WCB: Naikubali sana ngoma ya Mac Muga ya Kiba