Msemaji wa Chama cha Mapinduzi, Christopher Ole Sendeka amepongeza hatua ya Serikali ya kununua ndege mbili mpya aina Bombardier Q400 kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) zilizonunuliwa kutoka nchini Canada.

Sendeka ameongea na dar24.com mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo Septemba 28, 2016 kuzindua rasmi ndege hizo mbili, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam. Bofya hapa kutazama video

Uwanja Wa Young Africans Kujengwa Ndani Ya Ekari 715
Jaji Warioba Awaasa Vijana Kuenzi na Kuitunza Amani