Kufuatia tamko la chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) la kufanya mikutano ya hadhara na maandamano tarehe 1 Septemba 2016 nchi nzima, Msemaji wa chama cha Mapinduzi Christopher Ole Sendeka amejibu hoja hizo zilizotolewa na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, na kutoa ushauri huu kwa chama hicho, Tazama