Panga latua wanufaika ‘dili’ watumishi hewa, Wingu zito kupotea msaidizi wa Mbowe, Kinana bado yupo sana CCM, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 12, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Lowassa, Mnyika Kusimamia uchaguzi Tabora
Mzee wa Upako awatabiriki kifo waliomuandika vibaya, 'wasipokufa nauza gongo'