Polisi kimya kimya, Ubadhirifu wa kutisha NIDA, CAG asema unawahusisha viongozi,wafanyakazi na watoa huduma, Askari JWTZ auawa kwa kuchomwa fisu na vibaka, Mbaya wa Nape kitanzini, ni yule aliyemtolea Bastola hadharani…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 18, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Korea Kaskazini yasema haitaacha kufanya majaribio ya makombora
CAG abaini 'upigaji' wa mabilioni kwenye Manunuzi ya Umma

Comments

comments