Ungana na Dar24 Magazeti  kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo Novemba 23, 2016 ikiwa pamoja na Polisi: Siasa inatukwamisha, Mawakili kesi ya Lema wakwama na nyingine nyingi #USIPITWE

Diamond na Ommy watoleana povu, Ommy Dimpoz adai amejipanga.
Gareth Bale Amtia Mshawasha Zinedine Zidane