Polisi wamvuruga Lissu, wamkamata uwanja wa ndege Dar baada ya kuruka kihunzi cha Dodoma, Magufuli azuia Warundi kupewa uraia nchini, Lowassa ag’ang’aniwa, Mbunge kortini kwa kuendesha gari bila bima…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 21, 2017. Tazama video hapa

Wapinzani Kenya wapigwa chini Mahakamani kuhusu karatasi za kura
Ulishangaa ya kichanga Tiffah wa Diamond? Utastaajabu ya mapacha wa Jay Z