Polisi wanaswa wakiiba mafuta ya ndege za JPM, uchunguzi wabaini yameingizwa uswahilini, Nape ashusha mzigo kwa JPM, Uamuzi mgumu kwa Makonda…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 23, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Method Mwanjali Kurejea Dimbani
Sumaye: Tuiunge mkono Serikali ya awamu ya Tano