Polisi watanda ni katika shule ambako mwalimu anasakwa kwa tuhuma za ubakaji watoto wa kike, Dkt Bashiru aanza kubali mwelekeo asema atakuwa mtu wa kutengeneza mikakati ya chama, majukwaani kuonekana mara chache, Wabunge wacharuka sakata la udhalilishaji St.Florence, Zinedine Zidane ajiuzulu Rela Madrid, Mapato ya Tanzanite yaongezeka maradufu, Mbunge ahoji Bil.700 za makinikia ziko wapi?…,Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika magazeti ya leo Juni 1, 2018.

Waziri wa Elimu avurugwa na Kwaya ya Utupu ya Wanafunzi
Magazeti ya Tanzania leo Juni 1, 2018