Polisi yataja mtandao wa ujambazi Kibiti, Meya, Viongozi wa dini sasa kushtakiwa, Ni wale waliokamatwa wakitoa misaada Lucky Vicent, Gambo aonya wanaoingiza siasa katika msiba huo, RC wa JK ataka Serikali iangalie ilipokosea mauaji Pwani, Asema baadhi ya matendo ya viongozi yanaweza kuwa yanapandikiza chuki na kusababisha visasi…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 20, 2017. Bofya hapa kutazama.

Video: Mwijage hata ahubiri kwa kutumia biblia na msaafu hawezi kufanikiwa sekta ya uwekezaji-Bashe
Magazeti ya Tanzania leo Mei 20, 2017