Nitajiuzulu ubunge, Mjadala kupanguliwa mawaziri washika kasi… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Januari 21, 2017, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Kajala akemea wanao muombea bintiye mabaya
Trump aanza na mfuko wa bima wa Obamacare,asema anapunguza mzigo serikalini