Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Profesa Benno Ndulu  Septemba 14, 2016 ametoa taarifa ya hali ya ukuaji wa uchumi nchini kuwa imeendelea kuwa ya kuridhisha huku kukiwa na viashiria vikionyesha uchumi kuimarika.

Prof. Ndulu pia amezungumzia kuhusu matarajio ya ukuaji wa uchumi kwa mwaka 2016, amesema viashiria mbali mbali vinaonyesha uchumi utaendelea kuimarika katika mwaka 2016 kwa kukua kwa kiwango cha asilimia 7.2. Hii hapa ripoti kamili kutoka kwa Prof. Benno Ndulu. Bofya hapa kutazama

Tume ya Mipango yahitimisha mafunzo ya Usimamizi Miradi ya Uwekezaji sekta ya Umma
Audio: 'Hukumu ya kunyongwa haina mbadala'