Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Saharif vHamad amesema kuwa Prof. Ibrahim Lipumba si yule anayemfahamu kwani kwasasa amekubari kutumika.
 
Ameyasema hayo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari, ambapo amesema kuwa Prof. Ibrahim Lipumba kwasasa amekubari kutumika si yule aliyekuwa na misimamo ya awali.
 
Aidha, katika mkutano wake na waandishi wa habari amesema kuwa anaunga mkono waraka wa maaskofu wa KKKT na anatamani viongozi wake wa dini ya Kiislam kutoa tamko

Magazeti ya Tanzania leo Machi 27, 2018
Wali nazi kutangazwa kimataifa

Comments

comments