Fuatilia katika ukurasa wetu wa YouTube wa Dar 24 matukio ya moja kwa moja kutoka mkoani Mtwara kwenye ziara ya kikazi ya Rais John Pombe Magufuli Wilayani Masasi akizungumza na wananchi pamoja na kuweka jiwe la msingi katika kituo cha Afya cha Mbonde.

Bonyeza hapo chini ikupeleke moja kwa moja kwenye ukurasa wetu wa YouTube kutazama ziara hiyo.

Upinzani wasusia bunge hukumu ya Lema, watoka nje
Hukumu ya Lema yatajwa

Comments

comments