Katibu mkuu mstaafu wa chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba amesema kuwa Rais Magufuli Alikataa Kumteuwa Dadaake kuwa DC, hivyo alieleza kuwa Rais hakatai ushauri anachokataa ni vimemo.

“Sio kweli kwamba Rais Magufuli anakataa ushauri, anachokataa ni vimemo hata changu alikikataa kumteua dada yangu awe DC” – Mzee Makamba

Diwani apambana na Majambazi wenye bunduki, apishana na risasi
Ujerumani yapata Pigo lingine la usalama