Maandamano ya CAG yaja, Magufuli asema hajachoka kubadilisha mawaziri, Wafanyakazi wasikilizia mishahara mipya j’tano, Takukuru yabaini maficho ya bilionea aliyetoroka nchini, JPM azidi kuwapa neema Ruvuma, Macho, masikio bungeni, Wiki ngumu kwa mafisadi…,Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika magazeti ya leo Aprili 8, 2019.

Video: LIVE: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Aprili 8, 2019
Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Aprili 8, 2019