Leo Mei 6, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanazania John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na Mke wake Mama Janeth Magufuli, akiendelea na ziara yake ya kikazi Mkoani Morogoro anafanya uzinduzi wa kituo cha mabasi cha kisasa cha Msamvu.

Sherehe hizo zimehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi, Selemani Jafffo, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt Steven Kebwe na wengine wengi.

Video: Rais Magufuli aruhusu wamachinga kufanya biashara katika kituo cha mabasi cha kisasa
Madaktari watoa ripoti upasuaji wa Ferguson, ''anahitaji kupumzika''