Rais wa Rwanda Paul Kagame yupo nchini Tanzania kwa ziara ya siku mbili, jijini Dar es salaam. Rais Kagame pia amezungumzia uhusiano wa Tanzania na Rwanda kabla ya kushuhudia Mawaziri wa mambo ya nje wa Tanzania na Rwanda wakitiliana saini muhtasari wa kikao cha tume ya kudumu ya pamoja kilichofanyika Rwanda. Haya hapa maneno ya Rais Paul Kagame.

 

Hotuba ya Rais Magufuli alipomkaribisha Raisi Kagame Ikulu

Video: Maneno ya Yanga baada ya TFF kuwaandikia barua ya kumuita Msemaji wao
Watu Sita Wamefariki Katika Shambulio Kenya