Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amemwagiza Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro kutoa adhabu kali kwa yeyote atakaye kata mti au kugonga vyuma vilivyowekwa pembezoni mwa barabara kama uzio.

Makonda ametoa agizo hilo mapema leo Oktoba 1, 2016 wakati wa uzinduzi wa siku ya upandaji miti maalufu kama ‘Mti wangu’. Bofya hapa kutazama video

Majaliwa aagiza kodi soko la Dodoma kupunguzwa
Video: Makamu wa Rais aagiza kampeni ya kupanda miti kuwa endelevu nchi nzima