Rapa na bosi wa lebo ya Maybach Music Group Rick Ross ameachia video ya wimbo ambao mashairi yake yanaonekana kumzungumzia na kumponda bosi wa Cash Money Records Birdman. Katika wimbo huo unaoitwa ‘Idols Become Rivals’ ambao Rick Ross amemshirikisha mchekeshaji Chris Rock  mwanzo mpaka mwisho mistari ya wimbo huo unamponda Birdman,Rick R0ss anamtuhumu Birdman kutowalipa watayarishaji wa mziki aliofanya nao kazi na kwamba anajifanya ana pesa kumbe anavaa saa feki, pia katika video ya wimbo huo inaonyesha mikata ya Cash Money ikichomwa moto na pia Rick Ross anamtuhumu Birdman kutokuwa mungwana kwa Lil Wayne na Dj Khaled.

 

Siku saba zatangazwa kumuombea Rais Magufuli
🔴Breakingnews: Rais Magufuli akutana na Barrick, Acacia wakubali kulipa fedha wanazodaiwa

Comments

comments