Ridhiwani – Familia ilitikisika nilipohojiwa dawa za kulevya, aeleza jinzi baba yake alivyopokea taarifa za kuitwa kwake kwa Sianga, Kesi mauaji Bilionea Msuya ngoma nzito, Makonda aibukia Machinga Complex…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Machi 22, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Paris Saint-Germain Wasubiri Jibu La Arsene Wenger
Wawili Kuzaba Nafasi Ya Lukaku