Mwanasiasa mkongwe na mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (Chauma), Hashim Rungwe Spunda amezungumzia uteuzi wa aliyekuwa mwenyekiti na mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Aidha, Rungwe ambaye pia alikuwa mgombea urais kupitia chama chake amezungumza haya kama yeye atateuliwa na Rais kuwatumikia wananchi. Bofya hapa kutazama

Comments

comments