Saa 72 hatma ya Lowassa Polisi, wakili wake ajiweka sawa, Mkapa afunguka, awataka watanzania kubadili fikra na mitazamo, asema hakuna haki bila wajibu, nchi lazima ijitegemee, Dkt. Mengi ataka matajiri wamuunge mkono JPM…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 10, 2017. Tazama video hapa

Uhuru Kenyatta ainyooshea kidole Mahakama, atoa onyo kali
Magazeti ya Tanzania leo Julai 10, 2017