Msanii mkongwe wa muziki, Saida Karori amefanya ‘show’ ya kusherehekea miaka 15 toka aanze kufanya muziki.

Saida amefanya onyesho kali la kusherehekea, ambapo onyesho hilo lililofurika watu limefanyika katika ufukwe wa Escape One Mikocheni jijini Dar es salaam. Saida alipanda jukwaani kwa awamu tatu tofauti akikonya nyoyo za mashabiki wote waliofurika katika eneo hilo. Bofya hapa kutazama video

Leceister City Wasajili Mtu Wa Kazi Kutoka Spain
Nahodha Wa China Afungiwa Kucheza Soka