Sakata la dawa lageukia majaji, tume yajipanga kuwashitaki walioachia ‘wazungu’ kirahisi, Wauza unga dar wakalia kuti kavu, Makonda ataja jina moja akabidhi 97, Mke mume jela miaka 20, … hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 14, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Mshauri wa Trump hatarini kuachishwa kazi
Askofu Mwamalanga amkingia kifua Mbowe kuhusu madawa ya kulevya