Sakata la Richmond laibuka upya, Dkt. Mwakyembe adai Lowassa hachomoki, Uhai wa Ben Saanane utata, Waziri Mkuu ataka subira, baba mzazi ailaumu Serikali, Mwanasheria Mkuu alijia juu jeshi la Polisi sakata la Ben Saanane…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 21, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Video: Waziri Mwakyembe alivyomtaja Lowassa Bungeni sakata la Richmond, asema ni vigumu kumsafisha

Utajiri Wainyelemea Young Africans
Klabu Bingwa Taifa Kujulikana Mwezi Huu