Sakata la Watanzania Malawi laibua mapya, Wapo Gereza kuu la Mzuzu, ujumbe wa Serikali ya Tanzania wakwama kuonana nao, Makubwa yafichuka Faru John… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Desemba 30, 2016, Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Majaliwa: Ole wao watakao waachisha masomo watoto kike
Salum: Mfumo wa tume ya uchaguzi zanzibar (ZEC) uboreshwe