Sakata vyeti feki lachukua sura mpya, Watumishi wa umma wafikia 10,000, wamo mabalozi, wakuu wa wilaya na mikoa, Gonjwa la ajabu linavyoua nchini, dawa za mgonjwa mmoja ni milioni 200/-, Utekaji ulivyofunika bajeti ya Waziri Mkuu, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 19, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Video Loading…

 

Video: Tazama hapa moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma yanayojiri muda huu

LIVE: Maswali na Majibu Bungeni Dodoma
Sirro awataka wananchi kutojichukulia sheria mikononi