Sauti zetu ya Dar24 kwa mara ya kwanza imekutana na mwanafunzi, Bertha Peter Nguyamu aliyefanya vizuri katika masomo ya Sayansi akishika nafasi ya pili upande wa wasichana Kitaifa, Yafahamu mengi kutoka kwake ikiwa ni pamoja na changamoto mbali mbali alizopitia hadi kufikia hapo. Je unajua kwamba Bertha alichekwa na wanafunzi wenzake kisa Kingereza hakipandi? Tazama hapa #USIPITWE 

PPRA kuzinyoosha taasisi 361 kwa kutowasilisha Mipango yao ya manunuzi (GPN)
TBL Yaiweka Njiapanda Simba SC