Kutoka Bungeni Dodoma Mbunge wa Nzega mjini, Hussein Bashe ameyapeleka mapendekezo yake kwa Serikali kuhusu mabadiliko ya kodi kwenye soko la hisa na kusisitiza makampuni kujisajili, umiliki wa watanzania katika makampuni kuwa asilimia 35 tofauti na ile ya 25 inayotakiwa na serikali.

Pia Mbunge Bashe amezungumzia umuhimu wa sheria kutoruhusu mtu mmoja kumiliki hisa zote katika kampuni badalayake zimilikiwe na watanzania wengi, kulazimisha sekta binafsi kusajili soko la hisa kwa lazima sio jambo sahihi katika kutoa vipaumbele kwa wazawa.

NAPE NNAUYE AZINDUA RADIO YA KIJAMII JIJINI DAR ES SALAAM
Baada ya script ya 'Chura' kukataliwa, Snura ameipeleka nyingine kukaguliwa