Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amesema Serikali inatumia fedha kununua vitu vyenye manufaa kwa Watanzania ndiyo maana imenunua ndege mbili ‘keshi’ na siyo kwa mkopo ambao ungesababisha malipo kuwa makubwa zaidi.

Prof. Maghembe amesema hayo wakati akizungumzia hatua iliyochukuliwa na Rais Magufuli yas kununua ndege mbili mpya za Air Tanzania kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL).

Tayari ndege hizo zimezinduliwa na Rais Magufuli jana Septemba 28, 2016 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam. Bofya hapa kutazama video

Selena Gomez avunja rekodi ya Instagram duniani, lakini yamuachia ‘ugonjwa ‘
Jaji Warioba akosoa hali ya kisiasa nchini, ‘inaongozwa bila sera’