Mbunge wa Busanda, Lolensia Bukwimba amesimama bungeni leo Juni 29 – 2016 na kuuliza maswali yake mawili yanyongeza ambapo amelenga katika uchimbaji wa madini akitaka kujua ni lini ahadi ya Serikali ya kuwapatia wachimbaji wadogo maeneo.

Akitoa majibu ya Serikali Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuwa Serikali itatenga maeneo rasm kuanzia mwezi wa 10.

“Mwezi wa kumi tunaanza kutenga maeneo rasm, na hii ni kwanchi nzima” – Waziri Medard Kalemani

Rais Magufuli Atoa Sababu Ya Utenguzi Wa Mkuu Wa Wilaya Ya Ikungi
Gareth Southgate Aukwaa Ukocha wa Muda England