Serikali yaionya Chadema, Ni kutokana na kauli ya Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Tundu Lissu kuhusu demokrasia, DC amweka ndani Nagu, Aagiza pia Mwenyekiti wa Halmashauri, Katibu wa CCM washikiliwe na Polisi, Mghwira: Lowassa kuhamia Chadema ufisadi wa kisiasa…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 19, 2017. Tazama video hapa

 

Winnie Mandela aishukia serikali ya Afrika Kusini
Waziri: Asilimia 90 ya watoto hufundishwa ‘ushoga’ shuleni