Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ameendelez na ziara yake ambapo akiwa Nzega Mkoani Tabora amesema anapenda kukusanya kodi lakini sio kukusanya kodi kutoka kwa watu masikini. Bofya hapa kutazama video ya Rais Magufuli akiongea na wananchi Tabora