Leo tarehe 07 – Jun – 2016 Bunge la 11 limeendelea katika kipindi cha maswali na majibu ambapo akijibu swali Bungeni hapo Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani ameeleza kuwa kuanzia Septemba TTCL itafikisha huduma kwa Wananchi ambao bado hawajafikiwa na huduma za mawasiliano

Lennox Lewis, Will Smith kubeba jeneza la Muhammad Ali
BMT Waukataa Mchakato Wa Uchaguzi Wa Young Africans