Sheikh Ponda afunguka maiti 15 kwenye viroba, aeleza zinapotoka, DCI akiri akisema ni mapema mno. Utata kukamatwa Bulaya. Lugumi mambo mazito, Serikali yasema kama anaidai afuate taratibu, taarifa zasambaa amekamatwa, Aliyepigwa na DC ashonwa nyuzi 9…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 22, 2017. Tazama video

Nandy: Ruge alivunja CD ya nyimbo zangu
Hapa Kazi Tu: Madarasa yajengwa na kukamilika kwa wiki moja