Muimbaji wa Bongofleva Shilole jana, Agosti 7 ameachia video ya ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la ‘kigori’, katika wimbo huo Shilole amesimama peke yake bila kumshirikisha msanii yeyote.

Ngoma hiyo imetayarishwa na Mazuu Record, wakati mwandishi wa ngoma hiyo akiwa Barnaba Classic

Mpaka asubuhi ya leo video hiyo imepata watazamaji 5,972, Usipitwe mtazame Shilole hapo chini akichana mistari mizuri ya mahaba iliyoandikwa na mkongwe wa sanaa ya muziki Barnaba Classic maaarufu kama Lover Boy.

Serikali kuanza rasmi urasimishaji makazi holela
Kenyatta: mkipiga kura rudini nyumbani