Shule 6 Dar hoi matokeo kidato cha nne, Upungufu wa chakula nchini kudhibitiwa, Tani 35,400 zahitajika kwa miezi mitatu, athari kujitokeza kutokana na kukosa mvua… hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 1, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Heche ataka fedha za tetemeko zirudi bungeni
Baada ya agizo la Majaliwa,Wizara zaanza kumiminika Dodoma