Simanzi kifo ghafla babu nembo ya taifa, ni yule aliyemwomba JPM amsaidie kupata ugali na Kisamvu kisichoungwa, Polisi kufumuliwa, Makamanda wa Polisi viti havikaliki, Msangi, Misime watajwa kumrithi Sirro, Wapinzani, Kovwa wampa neno IGP Sirro…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 31, 2017.


?Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Mei 31, 2017
August Alsina aweka wazi ugonjwa wa ini unavyomtesa