Mashabiki wa simba na yanga wamezidi kutambiana kwa kila mmoja kuvutia upande wake kuelekea mechi ya kesho Oktoba 1, 2016 itakayochezwa katika uwanja wa Taifa Dar es salaam. Kamera ya dar24.com katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es salaam imenasa baadhi ya tambo hizo zenye vuta nikuvute kutoka kwa Mashabiki wa Simba na Yanga. Bofya hapa kutazama

PPRA yanusa harufu ya rushwa TCRA, Ofisi ya Bunge, Wizara ya Maji…
Video: Naibu Waziri aonya viongozi wazembe Serikalini