Spika Mstaafu  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Pius Msekwa  amesema marehemu mzee Sitta alikuwa kiongozi mahiri na mpiganaji kwani alikuwa akisimamia jambo ni lazima lifanikiwe.

Msekwa amesema kuwa marehemu Sitta alifanya mabadiliko makubwa ya kanuni za Bunge kitu ambacho kilimfanya aitwe spika wa viwango.

Video:  Waziri Angellah Kairuki amemtaja Samuel Sitta kwenye mambo haya

Video: Alichoongea Bi Simba kuhusu Samuel Sitta

Video: Kauli ya Samuel Sitta yamtoa machozi Majaliwa, Nape naye...
Ali Kiba ataka Wizkid ‘aachwe’