Spika akata, NEC yafunua, utata wagubika majina ya wabunge wapya, waliotimuliwa watinga mahakamani kuzuia, Tutanyamaza tukiwa wafu – Lissu, vigogo Barrick waja tena Bongo kwa mazungumzo mazito, Magufuli ‘ amtolea uvivu’ mbunge CCM…,  Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Julai 28, 2017. Tazama video hapa

Prof. Lipumba augeuzia msumeno kwa wabunge wa majimbo CUF
Mke wa Mugabe ampa changamoto mumewe, amtaka ataje jina…