Msanii wa maigizo, Stive Nyerere amesema kama isingekuwa ITV , Television iliyoanzishwa na Marehemu Dk.Regnald Mengi, maigizo yote ya zamani yaliyopata umaarufu mkubwa , kama yakikundi cha kaole, kidedea na mambo hayo yasinge kumbukwa hii leo.

Ameyasema hayo alipoungana na watanzania kumuaga Marehemu Dk.Mengi, baada ya kuona wasanii wengi wazamani waliojulikana kupitia ITV hawajafika kutoa heshima za mwisho…, Bofya hapa kuagalia video yote.

Video: Waislam watakiwa kujifunza athari za Talaka Mwezi wa Ramadhan
Masaa kadhaa ya R kelly kupigwa na kesi nyingine kubwa

Comments

comments