Msanii wa sanaa ya uchongaji, Vitus Peter Kamchape, ameanza kunufaika na mradi wa utambuzi wa wasanii wa sanaa za ufundi TACIP, baada ya kupata kitambulisho chake.

Kamchape amesema kuwa changamoto ya muda mrefu ya kusumbuliwa na watu wa maliasili ilifika mwisho baada ya kuwaonesha kitambulisho cha TACIP…, Bofya hapa kuangalia simulizi yote ya Msanii kamchape.

Watu 41 wafariki dunia baada ya ndege kulipuka Moscow
LIVE: Yanayojiri Bungeni Jijini Dodoma

Comments

comments